Header Ads

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA KONGAMANO LA SHIRIKISHO LA WAALIMU MKOA WA MOROGORO LA KUPONGEZA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA YA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN UKUMBI WA KILAKALA SOKO KUU KINGALU MEI 07/2022.

 

KATIBU wa NEC Idara ya Organaizesheni na Mlezi wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Maudline Castico (kulia) akipokea zawadi iliyoandaliwa na Shirikisho la Waalimu Mkoa wa Morogoro kwa Rais Samia Suluhu Hassan.(kushoto) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Comrade Fikiri Juma , (katikati) Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini , Comrade Chifu Sylivester Yared.

KATIBU wa NEC Idara ya Organaizesheni na Mlezi wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Maudline Castico, akizungumza katika Kongamano hilo.

KATIBU wa NEC Idara ya Organaizesheni na Mlezi wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Maudline Castico, (kushoto) akiwa pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro, Dorothy Mwamsiku (kulia) wakifuatilia kwa makini Kongamano hilo.

KATIBU wa NEC Idara ya Organaizesheni na Mlezi wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Maudline Castico (kulia), akimkabidhi cheti cha shukrani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mhe. Abdulaziz Abood.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro, Dorothy Mwamsiku, akionekana kujawa na furaha katika Kongamano hilo.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro, Dorothy Mwamsiku akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigela (kulia) wakifuatilia kwa umakini Kongamano hilo.

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigela akizungumza katika Kongamano hilo.

Zoezi la viapo kwa Wanachama wapya wa CCM.

Picha ya pamoja na Wanachama wapya .

Mwenyekiti wa Shirikisho la Waalimu Mkoa wa Morogoro, Mwanafela Mkuu, akizungumza katika Kongamano hilo.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, (kushoto) akiwa pamoja na Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Chifu Sylivester Yared wakifuatilia kwa makini Kongamano hilo.

Usomaji wa Risala ya Shirikisho la Waalimu Mkoa wa Morogoro.

Sekretarieti ya  CCM Mkoa wa Morogoro wakifuatilia kwa makini Kongamano hilo.

Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Maulid Chambilila (kulia) akiteta jambo na Katibu wa Vijana UVCCM Wilaya ya Morogoro Mjini Sabrina Ayubu  .

Diwani wa Kata ya Tungi Manispaa ya Morogoro  Mhe, Namala Mchunguzi (kulia) akifuatilia kwa makini Kongamano hilo. 

Wananchama wa CCM wakiwa Ukumbini kufuatilia Kongamano hilo.


No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.