Header Ads

MAONESHO YA MIFUKO YA MIFUKO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI YAFANA MKOANI MOROGORO.


WAZIRI wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji, Dr. Ashatu Kijaji na wajumbe wake wakisikiliza maelezo kutoka kwa wahusika baada ya kuwasili Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Jamhuri Morogoro kwa ajili ya kufungua Maonesho ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi yaliyofanyika Kitaifa Mkoa wa Morogoro kuanzia Mei 09-Mei 14 mwaka 2022 , (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Morogoro , Mhe. Martine Shigela.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.