Header Ads

MEYA KUMBILAMOTO ASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA NA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA ASHURA VINGUNGUTI.

 





Meya Jiji la Dar es salaam Mhe Omary Kumbilamoto leo Aprili 23/2021 jioni ameshiriki ftari ya pamoja na Watoto Yatima katika Kituo cha Ashura kilichopo Kata ya Vingunguti,  Mhe Kumbilamoto alijumuika kwa pamoja na Mlezi wa Kituo hicho Mhe. Ally ambaye ni Balozi Mstaafu wa Uturuki.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.