MEYA KUMBILAMOTO AKABIDHI BAISKELI KWA MTOTO MWENYE ULEMAVU.
MEYA was Jiji la Dar es Salaam, Omari Kumbilamoto, amekabidhi baiskeli maalum kwa mtoto mwenye ulemavu wa viungo, Yahya Ramadhan mwenye umri wa miaka 10 mkazi wa Liwiti.
Hata hivyo, Mara baada ya kukabidhi kiti hicho, alipata fursa hiyo kuwajulia hali makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Vingunguti ambao ni wagonjwa kwa kipindi cha zidi ya miaka mitatu sasa na kuahidi kuwasaidia katika matibabu , huku akiwapa sadaka ya Ramadhani.
Post a Comment