Header Ads

MANISPAA YA MOROGORO YATOA MKOPO WA ZAIDI YA MILIONI 200 KWA WANANCHI.







HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imetoa mkopo wa zaidi ya shilingi Milioni 200 kwa vikundi vya Wanawake,Vijana na Watu wenye Ulemavu katika kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021.

Akizungumza na Waandishi wa Habari,Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro,Mh. Pascal Kihanga leo Machi 11/2021 katika Mkutano   baraza la Madiwani kwa ajili ya kupitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22 , amesema kuwa Halmashauri ilitenga shilingi Milioni 700 kwa mwaka huu wa fedha unaoishia Mwezi June mwaka huu.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.