Header Ads

BARAZA MAALUM LA MADIWANI MANISPAA YA MOROGORO WAPITIA HESABU ZA MWISHO MWAKA WA FEDHA 2021/2022









MKUTANO  Maalum wa Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wamekutana na  kupitia taarifa ya hesabu za mwisho za Halmashauri kwa mwaka wa  fedha 2021/2022.

Mkutano huo maalum wa baraza la madiwani umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kilakala Soko Kuu la Chifu Kingalu Morogoro Septemba 27/2022  kwa lengo la kupitia agenda moja tu ya  kupitia taarifa ya hesabu za mwisho za Halmashauri.

Katika mkutano huo maalum Wah.Madiwani wametoa pongezi kwa wataalamu kwa  kuandaa taarifa vizuri katika viwango vya kimataifa .

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.