Header Ads

UVCCM WILAYA YA MOROGORO MJINI WAADHIMISHA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KWA KUPANDA MITI, KUFANYA USAFI NA KUCHANGIA DAMU LEO APRILI 26/2022.

 

Katibu wa Umoja wa Vijana CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Sabrina Ayubu (aliyevaa tisheti ya njano) akiwaongoza Vijana katika zoezi la upandaji wa Miti katika kusherehekea miaka 58 ya Muungano Hospitali ya Rufaa ya Morogoro, (aliyevaa tisheti nyeusi) Katibu wa Hamasa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Jumanne Juma.
Vijana wakichangia damu Hospitali ya Rufaa ya Morogoro.







1 comment:

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.