Header Ads

PICHA MBALI MBALI ZA MATUKIO YA ZOEZI LA UPIMAJI MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA KATIKA KITUO CHA AFYA SABASABA MANISPAA YA MOROGORO LEO NOVEMBA 10/2020.


Madaktari wakiendelea na zoezi la upimaji wa magonjwa yasiyoambukizwa katika Kituo cha Afya Sabasaba.



Zoezi hilo linaendelea hadi Novemba 14,2020,ambapo huduma zinafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 9:30 mchana katika Kituo cha Afya Sabasaba.




 

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.