Header Ads

Kaimu Meya Ilala atoa msaada Wa Mikate Kituo cha Watoto yatima Vingunguti.





KAIMU Meya Ilala, Mh Omary Kumbilamoto, ametoa msaada Wa Mikate katika kituo cha kulelea Yatima Ashura Foundation Kilichopo kata ya Vingunguti.

Amesema msaada ni mdogo lakini bado utawasaidia.

" Huu ni upendo kwa Watoto wetu Hawa kwani wanahitaji msaada mkubwa zaidi ya hapa

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.