Header Ads

Kaimu Meya Ilala akishiriki kufukia kifusi Bara bara ya Zahanati ya Vingunguti leo



















Kaimu Meya wa Municipal ya ilala Mh Omary Kumbilamoto Leo alishirikiana na Jogging ya Vingunguti iitwayo

 Kijiti Cha Mishemishe kwa ajiri ya zoezi LA kusambaza kifusi ktk Zahanati ya Vingunguti ili

 kufukia Mashimo yaliyo ni kero kubwa kwa wananchi. Mh Meya

 aliwashukuru vijana hao kwa moyo wao wa kizalendo ktk kutumikia jamii.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.