Header Ads

RC Makonda kutoa milioni 10 kujenga ofisi ya wajane .




 Amesema DC yoyote atakayesaidia kupata kiwanja ndio Wilaya yake itajengwa ofisi ya Wajane Tanzania.

 Amesema wakuu wa Wilaya wapo na wanawapenda Wajane wote.

Amesema ofisi hiyo iwe ya kisasa kwani sasa hivi yupo  katika hatua ya kukamilisha ofisi za kisasa za CCM katika Wilaya zake zote za dar Es salaam na ofisi ya Wajane itakuwa  miongoni Mwa hizo ofisi.

  Amesema matokeo ya kuwepo kwa kesi nyingi za Mirathi ni matokeo ya kutokuwa na hofu ya Mungu.

Amewataka viongozi wa dini kuwafundisha wananchi juu ya kuishi vizuri na familia zao.

Amewaomba Ustawi wa Jamii wakae karibu na Wajane na wawatumikie kwa kile wanachikitaka.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.