MANISPAA YA MOROGORO YAENDELEA NA ZOEZI LA VITAMBULISHO VYA MSAMAHA WA MATIBABU KWA WAZEE.
Afisa Ustawi Rehema Malimi, akizungumza na Mzee wakati wa zoezi la kuandikisha Wazee vitambulisho vya msamaha wa matibabu Kata ya Mji Mkuu.
Baadhi ya Wazee wa Kata ya Mji Mkuu wakiskiliza kwa makini Maafisa Ustawi wa Manispaa ya Morogoro , wakati wa zoezi la kuandikisha Vitambulisho vya msamaha wa matibabu.
Zoezi hilo linatarajia kufanyika kwa Kata zote 29, ambapo mpaka sasa ni jumla ya Kata 4 zimefikiwa na huduma hiyo ikiwamo Kata ya Mwembesongo, Mji Mpya, Bigwa pamoja na Mji Mkuu.
Post a Comment