Header Ads

PICHA MBALIMBALI ZA ZIARA YA KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO MANISPAA YA MOROGORO KATIKA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO LEO SEPETMBA 06/2021.

 

Kamati ya fedha wakikagua mradi wa ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Ghorofa iliyopo Kata ya Boma.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga 9wapili kutoka kulia) akisikiliza kwa makini taarifa ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Ghorofa iliyopo Kata ya Boma.

Ujenzi wa ukumbi wa Shule ya Sekondari Kilakala ukiwa katika hatua za mwisho kukamilika.

Muuonekano wa Choo kipya Shule ya Msingi Lukobe kilichojengwa na Manspaa ya Morogoro.

Eneo la ujenzi wa uzio Shule ya Msingi Kingolwira unaoendelea.

Afisa Uchaguzi Manispaa ya Morogoro, Pendo Chagu,akiwa katika picha ya pamoja na   wanafunzi wa darasa la saba wanaojiandaa kufanya mtihani wa Taifa wa kuhitimu .

Ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Msingi Lukobe.



No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.