Header Ads

Naibu Meya Ilala Kumbilamoto akutana na Mkuu Wa Kituo cha Polisi Buguruni kutatua kero za Vijana






Kuna maisha baada ya siasa tukiwa na mkuu wa kituo cha buguruni Mh Kaskana Jana jioni tuliongozana kwenda kijiwe cha Kombo ccm

Hapa Vingunguti kusikiliza kero za vijana na kinamama nilipofanya Ziara juzi walinishtakia juu ya Askari vidole namna wanavyowatesa RAIA wa Vingunguti kwa kuwabambikizia kesi

Na kuwakamata hovyo vijana walifunguka mbele ya mkuu wa kituo nae amezichukua kero hizo kwenda kuzifanyia kazi nimpongeze sana mkuu wa kituo wa buguruni kwa moyo aliouonyesha Jana kwa kukubari kuja

Kukutana na vijana wanyonge  hii ni historia kwa vijana wa  Vingunguti tunakupenda tunakuombea na tunakuahidi kukulinda ktk kazi zako hongera sana Afande Kaskana.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.