MSIMAMIZI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MANISPAA YA MOROGORO ARIDHISHWA NA ZOEZI LA UPIGAJI KURA November 24, 2019 Msimamizi wa Uchaguzi Serikali za Mitaa Manispaa ya Morogoro, Ndug. Waziri Kombo. MSIMAMIZI Uchaguzi Serikali za Mitaa Manispaa ya Mo...Read More
Mkurugenzi wa Manispaa Morogoro afungua mafunzo ya Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi Serikali za Mitaa. November 23, 2019 MKURUGENZI Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, (katikati) akifungua semina ya Mafunzo kwa Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi Serikali ...Read More
MKUU WA WILAYA MOROGORO, AWATAKA WASIMAMIZI WA VITUO VYA UCHAGUZI KUZINGATIA SHERIA , KANUNI , TARATIBU NA MIONGOZO KUFANIKISHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA AMANI. November 23, 2019 MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, amewataka wasimamizi wa Vituo vya Uchaguzi kuhakikisha wanasimamia vyema Sheria, kanu...Read More
DC CHONJO AKILI KUTORIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA STENDI MPYA YA DALA DALA November 23, 2019 Mkuu wa Wilaya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, (katikati) akiwa pamoja na Mshauri wa mradi, mkandarasi na Baadhi ya wakuu wa Idara wa Manisp...Read More
JUMLA YA KATA 9 NA MITAA 27 KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA NOVEMBA 24,2019. November 22, 2019 Posted On: November 22nd, 2019 MSIMAMIZI wa Uchaguzi Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Ndg. Waziri Kombo, ametan...Read More
BAADHI ya Picha zikionesha maendeleo ya Mradi wa Soko Kuu la Kisasa Halmashauri ya Manispaa Morogoro lililofikia 78% kukamilika wenye Thamani ya Shilingi Bilioni 17.Picha Novemba 22/2019 November 22, 2019 Muonekano wa nje wa Soko hilo. Muonekano wa mazingira ya kati kati ya Soko. Baadhi ya Fremu za Maduka zilizopo nje ya Soko h...Read More
Picha mbali mbali za semina ya Mafunzo ya Wakuu wa Idara Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro yaliyoanzishwa na Mkurugenzi Sheilla Lukuba . November 22, 2019 Afisa Utumishi Manispaa ya Morogoro, Ndug. Waziri Kombo, akifungua semina ya Mafuzunzo ya uzingatiaji wa Kanuni, Sheria na Taratibu za Utu...Read More
WAMACHINGA MOROGORO WAIPONGEZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO. November 21, 2019 Mkurugenzi Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba, akipokea Cheti cha Pongezi Ofisni kwake kutoka kwa Mwenyekiti wa Wamachinga Wilaya ya ...Read More
"Walimu jengeni utaratibu wa kuwafundisha Wanafunzi kujua thamani ya pesa inayotumika katika Miradi ya Shule" : MURUGENZI Manispaa Morogoro. November 21, 2019 Mkurugenzi wa Manispaa Morogoro , Sheilla Lukuba, (kati kati), kushoto Afisa Elimu Msingi Manispaa Morogoro, Ndug. Abdul Buhety wakie...Read More
MKURUGENZI MANISPAA MORO, AWATAKA WAKUU WA IDARA KUWEKA MALENGO HALISI ILI KUFIKIA KIWANGO CHA JUU KATIKA UTENDAJI KAZI November 20, 2019 MKURUGENZI wa Manipsaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, leo Novemba 20, 2019, amefungua mafunzo kwa Wakuu wa Idara juu ya uzingati...Read More
Mkurugenzi Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba, akifanya ukaguzi wa Darasa lililovunjwa na kuibiwa Computer Shule ya Msingi Msamvu "B" November 19, 2019 Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, akipeana mkono na Mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Msamvu "B...Read More
Picha mbali mbali ziara ya kushtukiza zikimuonesha Mkurugenzi wa Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba, akifanya ukaguzi usiku katika Nyumba za Wageni Msamvu na kuzifungia nyumba 14 kwa kosa la ukwepaji kodi za Serikali. November 19, 2019 Read More