Header Ads

KAMATI YA FEDHA MANISPAA YA MOROGORO YAANZA KUTUMIA VISHIKWAMBI.











KAMATI ya Fedha na Utawala Manispaa ya Morogoro imeanza kutumia Vishikwambi katika kikao chake ikiwa zimepita siku chache tangia wakabidhiwe vishikwambi hivyo.

Kikao cha Kamati ya fedha kilifanyika Desemba 20/2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa Ofisi Kuu.





No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.