Picha kutoka Maktaba
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Edward Lukuba . Kionjo kidogo " DAS lazima ...Read More
Picha kutoka maktaba
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mh Sophia Mjema (kushoto) pamoja na aliyekuwa Katibu Tawala Ilala na sasa ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro...Read More
MIAKA MINNE YA JPM , MADIWANI MANISPAA MORO WAMPONGEZA KWA KUIPATIA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO UKIWEMO WA UJENZI WA SOKO KUU JIPYA LA KISASA.
Posted On: November 2nd, 2019 BARAZA la Madiwani wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya u...Read More
Picha mbali mbali zikionesha matukio ya hafla fupi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Mhe Sheila Lukuba akipokea Cheti leo Novemba 5, 2019, kutoka kwa Shirika la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA)
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheila Lukuba, akipokea cheti kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirika la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA...Read More
ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI NOVEMBA 7, 2019 KUANZIA SAA 4:00 MAENEO YA KIWANJA CHA NDEGE, WOTE MNAKARIBISHWA
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe Regina Chonjo Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Mh Sheila Edward Lukuba Read More
Meya Ilala afanya ziara kukagua mradi wa Ofisi ya Mtendaji Bonyokwa iliyogharimu Milioni 114
Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam, Omary Kumbilamoto amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa k...Read More
MANISPAA YA MOROGORO KUUNGANA NA WADAU MBALI MBALI KUJADILI MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
MANISPAA ya Morogoro kupitia Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa Mhe. Sheila Edward Lukuba kesho Desemba 5, Mwaka 2019, itaungana na...Read More
DC Morogoro hajaridhishwa na ujenzi wa stendi ya daladala
Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Regina Chonjo ameonyesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa stendi ya daladala Manispaa ya Morogoro za...Read More
WANAFUNZI 10,021 KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MANISPAA MORO
Posted On: November 1st, 2019 Jumla ya Watahiniwa 10,021 Manispaa ya Morogoro wanatarajia kufanya mitihani ya Taifa ya kidato cha nne it...Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)