Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, Mkurugenzi Manispaa Morogoro Sheilla Lukuba ( Katikati) na Afisa Utumishi Manispaa Morogoro Pili Kitwana ( kulia) wakisalimiana Mara baada ya Waziri huyo kuwasili katika Shamba la Manispaa Morogoro leo Agosti 1,2020 wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya 27 ya Nanenane Mkoani Morogoro.
Waziri Prof. Kabudi akipata maalezo juu ya Kilimo Cha Green House katika Shamba la Manispaa Morogoro.
Watumishi wa Manispaa Morogoro wakiongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa Morogoro Sheilla Lukuba wakishangilia wakati wa kuondoka kwa Mgeni rasmi ikiwa ni ishara ya kufurahishwa na Ujio wa Prof. Kabudi katika Vipando vya Shamba darasa hilo.
Watumishi wa Manispaa Morogoro wakiwa katika Uwanja wa Kambarage Nyerere ndani ya Viwanja vya Nanenane Mkoani Morogoro Wilaya ya Morogoro wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi Prof. Palamagamba Kabudi.
Post a Comment