TBF yawaomba Wazazi na Waalimu kuchangamkia fursa ya mafunzo ya Mpira wa Kikapu Nchini. October 29, 2018 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu hapa nchini, Phrase Magesa (Kushoto), akizungumza na Waandishi wa Habari Mara baa...Read More
Matukio mbali mbali yakionyesha zoezi zima la ugawajibwa Dastibini kupitia Idara ya Usafishaji na Mazingira yakisimamiwa na Katibu Tawala Wilaya ya Ilala , Sheila Edward leo Kata ya Gerezani na pembezoni Mwa Bara bara Kariakoo Msimbazi hadi Fire Kituo cha Petroli cha Puma ambapo zoezi hili lilihitimishwa jumla ya Dastibini 20 zilitolewa. October 27, 2018 Read More
DAS Ilala apongeza jitihada za Manispaa Kitengo cha Usafishaji na Mazingira katika zoezi la ugawaji Dastibini Kata ya Gerezani. October 27, 2018 KATIBU Tawala Wilaya ya Ilala , Sheila Edward, ameupongeza Uongozi wa Manispaa hususani Kitengo cha Usafishaji na Mazingira...Read More
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU October 26, 2018 . . Leo 26/10/2018 Majira ya Saa tatu na nusu asubuhi tumepata changamoto ya kutitia na kuanguka kwa Jengo la ...Read More
Diwani Kata ya Kipawa awataka Wazazi kutotegemea Miujiza kufaulu kwa Watoto wao October 25, 2018 DIWANI wa Kata ya Kipawa, Kennedy Simion, amesema Wazazi wasitegemee miujiza kuona W...Read More
DIWANI WA KATA YA ILALA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WA BENJAMIN W. MKAPA KWA UMOJA NA MSHIKAMANO October 25, 2018 Diwani wa Kata ya Ilala ,Mhe Saady Khimji, leo alikuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Kidato cha nne kwa Wanafunzi wa Shule ...Read More