KUMBILAMOTO ATAJA MUONGOZO WA KUWAWEZESHA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII KUMILIKI ARDHI
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam ,Mhe Omari Kumbilamoto amesema wametengeneza mwongozo Ili posho wanazolipwa wahudumu wakujitolea katika ngazi ya Jamii (CHW) waweze kupata kiwanja Kwa njia ya kudunduliza.
Akizungumza Leo Jijini Dar es salaam na wahudumu wa kujitolea ngazi ya Jamii, mstahiki Meya Omari Kumbilamoto, amesema lengo katika huduma ambazo wamejitolea katika jiji la Dar es salaam lakini Kuna kitu wamepata.
Lakini pia katika semina hiyo waliweza kutoa kadi 250 za Bima ya Afya Kwa kata 36 za jiji la Dar es salaam kwaajili ya watumishi hao na kuwapa elimu jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Mpox.
Post a Comment